Budget Cadet Zawatu Wa Kipato Cha Wastani 25,000Tsh -30,000Tsh

Cadeet/Chino ni surale imara na zenye kuvutia sana, hizi ni nguo zinazo valiwa  na watu wa rika zote na katika maudhui mbali mbali wafanyakazi wa maofisin, wana sheria huvaa sana hizi na koti l jeusi wafanya bishara, waimba miziki na pia vijana walio wengi kwani ina watoa nadhifu sana.
Hizi hapa nime jaribu kuwawekea baadhi ya kadeti zenye bei nafuu ambayo kila mtanzania ana weza jinuulia 


 Black Slimfit Cadet/Chinos


 Navy Blue Slimfit  Cadet/Chinos

 Maroon Slimfit Cadet/Chinos

Comments